Habari za Punde

*UWANJA WA MAO-TSE TUNG ZANZIBAR, WAVUNJWA KUANZA KUJENGWA UWANJA WAKISASA NA WACHINA

Uwanza wampira wamiguu wa Mao Tse Tung uliopo eneo la Kikwajuni mjini Zanzibar,tayari umeshabomolewa rasmi ili kuanza kwa ujenzi wa Uwanja wa kisasa utakaojengwa na Wachina, ambapo baada ya kukamilika unatarajia kuwa na viwanja vya michezo yote.

Mchoro wa Uwanja Mpya wa Soka wa kisasa unaotarajia kujengwa baada ya kubomolewa uwanja wa zamani wa Mao Tse Tung,  
 Muonekano wa uwanja huo baada yakubomolewa uwanja kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa.
Katapila likiendelea kubomoa na kusawazisha eneolauwanja huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.