Menu

Wednesday, August 12, 2015

*AJALI GARI LAPINDUKA MCHANA KWEUPEEE

 Gari lenye usajili  T 896 BFB likiwa limeacha njia na kuanguka Wilayani Kakonko Mkoani  Kigoma, imeelezwa kuwa gari hilo limepata ajali kutokana na kusheheni mzigo mkubwa kupita uwezo wake. 

Wahusika wakifunga mizigo hiyo japo haikufahamika mara moja nimizigo gani.
 Mizigo hiyo ikihamishiwa katika Gari lenye usajili  T 267 DCW ili waweze endelea na safari hiyo.

No comments:

Post a Comment