Menu

Saturday, August 22, 2015

*BREAKING NEEEEEEWZ!!!!!!, SUMAYE ATANGAZA KUJIUNGA CHADEMA

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu maamuzi yake ya kujiondoa uanachama wa CCM na kujiunga na Chadema, wakati wa mkutano wa UKAWA, leo katika Hoteli ya Ledger Plaza, jijini Dar es Salaam. ITV. ilikuwa ikirusha Live mkutano huo

No comments:

Post a Comment