Menu

Thursday, August 6, 2015

*BREAKING NEEEEWZZZ, LIPUMBA AJIUZURU UENYEKITI WA CUF

Mwenyekiti chama cha CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, wakati akitangaza rasmi kujiuzuru nafasi yake ya Uenyekiti wa CUF.  Lipumba, amesema kuwa anajiuzuru nafasi hiyo na.kubaki Mwanachama wa kawaida. Habari za chini ya kapeti zinasema kuwa Lipumba amejiuzuru ili kuungana wenzie katika kuandaa Keki yao ya Ukawa yaani madaraka iwapo ukawa watafanikiwa kuchukua uongozi. HABARI KAMILI ZITAWAJIA HAPO BAADAYE, KAANASI

No comments:

Post a Comment