Menu

Saturday, August 8, 2015

*JANETH MBENE AKABIDHI VITANDA VYA KUJIFUNGULIA WILAYA YA ILEJE MBEYA

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene, akionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika hospital wakati akikabidhi rasmi vifaa hivyo vilivyotolewa na Mfuko wa Karemjee kwa ajili ya Hospital ya Ileje. Mbene alikabidhi vifaa hivyo vyenye tahamani ya Sh. Milioni 30 leo jijini Mbeya
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Wazazi, Katibu wa CCM wilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo.

No comments:

Post a Comment