Menu

Monday, August 31, 2015

*LOWASSA ALIPOUNGURUMA MKOANI IRINGA

Sehemu ya Wafuachi wa CHADEMA na Vyama vinge vinavyounda UKAWA wakiupokea msafara wa Mgombe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ulipokuwa ukiwasili Mafinga Mjini, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30, 2015. 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapumbia maelfu ya wananchi wa Mji wa Mafinga, Wilayani Mufindi Mkoani Iringa, waliokuwa wamefurika kwa wingi  kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015, kuliofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.
Bi. Mkubwa huyu nae alikuwepo Mkutanoni hapo. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, IRINGA

No comments:

Post a Comment