Habari za Punde

*MABONDIA RAMADHAN SHAURI NA LULU KAYEGE WAENDA AFRIKA YA KUSNI KUPAMBANA

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' katikati akiongozana na mabondia Lulu Kayage (kulia) na Ramadhani Shauri wakati wakielekea kupanda ndege kuondoka nchini kwenda nchini Afrika ya Kusini kwa ajili ya mapambano yao yatakayopigwa keshokutwa Agost 9.
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah Othadhi (katikati) akipozi kwa picha na mabondia Lulu na Shauri, kabla ya kupaa kwenda Afrika ya Kusini jana usiku.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.