*MAGUFULI AFUNIKA BOVU KATAVI KWA WAZIRI MKUU PINDA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM,John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi, leo baada ya Chama hicho kuzindua harakati zake za kampeni za uchaguzi kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania \kupitia CCM,John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.
Wafuasi na wanachama cha CCM wakifurahia mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda mkoani Katavi.
Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.
Sehemu ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.
No comments:
Post a Comment