Menu

Saturday, August 29, 2015

*MAMA SAMIA ALIPOUNGURUMA MBULU NA BABATI

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara. 
Wanannchi wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
 Kina mama wakimzawadia mavazi, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mbulumbulu, wilayani Karatu, mkoani Arusha. 
 Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suhulu Hassan akizungumza na wananchi waliomsimamisha njiani wakati akiwa njiani kutoka wilayani Karatu mkoani Arusha  kwenda Babati mkoani Manyara leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Karatu, kwa tiketi ya CCM, Wilbard Lorri, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika kijiji cha Mbulumbulu katika jimbo hilo. 
Mwananchi akiwa na bango kumsifu Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Mbulu mjini.
 Mgombe mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimsalimia kijana Augustine Male, mwenye ulemavu, ambaye alihudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza huyo, leo Mbulu Mjini. 
Vijana wakiwa na mabango kupamba mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu uliofanyika leo Mbulu Mjini.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Magugu, wilayani Bbati mkoani Manyara leo. Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment