Menu

Thursday, August 27, 2015

*MAMA SAMIA SULUHU AENDELEA KUCHANJA MBUGA, AUNGURUMA KILIMANJARO NA ARUSHA

 Wananchi wakiwa na bago la kuonyesha imani kwa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassani, katika mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Arusha.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE

 Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha.
 Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Hawa Ghasia, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha
 Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha
 Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda Kijiko, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha
 Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jijini Arusha.
 Wananchi wakiwa na bango wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha.
 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jijini Arusha.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akipokea kadi ya CUF kutoka kwa kada wa Chama hicho Sheikh Khalid Abubakar, aliyeamua kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jijini Arusha.
 Wananchi wakiwa na bango la kiutakia ushindi CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM, uliofayika leo Usa River, Arumeru mkoani Arusha.
  Msafara wa Mgombea Mwenza wa Rais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, ukiwa njiani mkoani Arusha leo kuendelea na kampeni mkoani.
 Wananchi wakimlaki kwa furaha mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro.
  Kijana katika jimbo la Hai, Kilimanjaro akishangilia kiaina, Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, alipowasili kwenye mkutano huo.
 Kina mama wakijimwayamwaya kumkaribisha Mama Samia kuhutubia mkutano wa hadhara leo katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, Danstan Mallya katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Hai, Machame mkoani Kilimanjaro.
 Kinamama wakimlaki Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili katika kuhutubia mkutano wa hadhara katika Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
 Kinamama wakimlaki Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili katika kuhutubia mkutano wa hadhara katika Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
Mgombea ubunge jimbo la Siha kwa tiketi ya CCM, Aggrey Mwanri akimwaga sera, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wa Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo hilo.
 KIMBUNGA: Baadhi ya wananchiwaliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mgombea Mwenza a Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, katika kijiji cha Oloiwa, Kata ya Donyomorwa, Jimbo la Siha, wakijaribu kukifukuza kwa vidole kimbunga kipite nje ya mkutano, baada ya kimbunga hicho kilichoambatana na vumbi kali, kutokea ghafla wakati mkutano huo ukiendelea.
 Kinana Mama wakimtuza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Oloiwa, jimbo la Siha.
 Mgmbea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi mgombea ubunge jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro, Aggrey Mwanri katika mkutano huo.
 Wananchi wa Usa River wakiwa wamejipanga kandoni mwa barabara, kumlaki Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika eneo hilo la Usa River Arumeru mkoani Arusha
 Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo wa Usa River, Arumeru Mashariki mkoani Arusha.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi leo katika Viwanja vya Usa River, jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha. Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment