Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika jimbo la Bahi mkoani Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan, akihutubia umati wa wananchi kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika jimbo la Bahi mkoani Dodoma.
Umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Bahi mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida, akitoa shukrani baada ya yeye na vingozi wenzake, kuufikisha msafara wa Mgombea Mwenza, Mama Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana, katika jimbo la Bahi mkaoni Dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi mgombea Ubunge, wa Bahi Omari Badwel, mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Bahi mkoani Dodoma
Mbunge wa Manyoni Mashariki, John Chiligati, akimuombea kura Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Ofisi ya CCM wilaya ya Manyoni mkoani Singida.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Makyungu, Ikungi, Singida Kaskazini.
Mgombea Ubung wa jimbo a Singida Kaskazini, Jonadhan Njau, akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana, katika eneo la Makyungu, Ikungi, mkoani Singida. Picaha na Bashir Nkoromo








No comments:
Post a Comment