Menu

Thursday, August 27, 2015

*MAMA SAMIA SULUHU,AUBGURUMA LONGIDO NA MONDULI LEO

 Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia mkutano wa hadhara leo katika eneo la Namanga, Longido mkoani Arusha leo. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasiliza kina mama waiokuwa wakichota maji katika eneo la mtaa wa madukani, Longido mkoani Arusha.
Mbunge wa Afrika Mashariki, Agela Kizigha, akizungumza na kina mama wa eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha leo. wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wenza wa urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa hadhara leo katika jimbo la Monduli, mkoani Arusha leo.
Mgombea Ubunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM, Namelock Sokoine, akihutubia katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo.
Kina mama wa kimasai wakionyesha furaha yake, baada ya Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan kuwasili kwenye mkutano wa hadhara katika jimbo la Monduli leo.
Vijana wakifurahi kwneye mkutano wa kampeni katika jimbo la Monduli.
Mbunge anayemaliza mda wake, katika jimbo la Longido, Lekule Laizer, akimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo, Dk. Steven Lemomo katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha leo
Kijana akishangilia wakati mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha leo kuhutubia mkutano wa kampeni. Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment