| Kocha wa masumbwi, Haji Ngoso (kushoto) akimfanyisha mazoezi bondia Thomas Mashali, wakati wa mazoezi yake ya mtaa kwa mtaa kwa ajili ya kujiandaa kumkabili mpinzani wake Ibrahimu Tamba, pambano linalotarajia kufanyika jumamosi Agost 29 katika uwanja wa ndani wa Taifa. Mashali anaendelea na mazoezi mazoezi hayo katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi Dar es salaam mchana katika jua kazi kila siku. |
No comments:
Post a Comment