Mdahalo wa vyama vya siasa vikijadili suala la Utaifa
KISWAHILI
Tarehe: Jumapili Septemba 6 2015
Muda: 9:00 – 12:00am (Saa tisa mchana hadi saa kumi na mbili jioni)
Mahali: Ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre (JNICC) - Posta
Wageni Waalikwa
Muda: 9:00 – 12:00am (Saa tisa mchana hadi saa kumi na mbili jioni)
Mahali: Ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre (JNICC) - Posta
Wageni Waalikwa
Vyama vitano vya siasa tulivyochagua ndivyo vuilivyokuwa na wagombea wengi zaidi (ngazi ya ubunge na udiwani) kwenye uchaguzi mkuu ujao. Vimealikwa kutuma wataalam wao kushiriki midahalo itakayojadili maeneo muhimu yanayohusu wananchi. Wawakilishi hawa watahojiwa na jopo la wataalam wa sekta husika.
Midahalo hii itarushwa moja kwa moja na Star TV na Redio RFA
ENGLISH
Time: 3:00pm - 6:00pm
Date: Saturday September 6 2015
Venue: Julius Nyerere International Conference Center (JNICC) - Posta
Invited guests
The five political parties fielding the largest number of candidates in the elections (at constituency or ward level) have been invited to send their experts to outline their visions and plans for these critical areas. These representatives will be interrogated by a panel composed of sector experts drawn from civil society.
These debates will be broadcast live by Star TV and Radio RFA.
No comments:
Post a Comment