Menu

Monday, August 24, 2015

*MKUTANO WA CCM KIBANDAMAITI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Maelfu ya WanaCCM na Wapenda amani wakimuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment