Menu

Thursday, August 13, 2015

*MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI KWENYE SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX MJINI DODOMA AGOSTI 12, 2015

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (wa pili kushoto) akitembelea soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, Wengine ni viongozi wa soko hilo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua eneo la vyoo vya soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati alipotembelea soko hilo mapema leo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (katikati) akibadilishana mawazo juu ya changamoto za biashara na wamachinga wa soko la Rehema Nchimbi Complex wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, wengine ni viongozi wa Wilaya ya Dodoma na viongozi wa soko hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwa kwenye Picha ya pamoja na wafanyabiashara wa soko la machinga la Rehema Nchimbi Complex baada ya kumalizika kwa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, wengine ni viongozi wa Wilaya ya Dodoma.Picha na Jery Mwakyoma

No comments:

Post a Comment