Menu

Sunday, August 9, 2015

*RAIS KIKWETE AZINDUA KIVUKO CHA MSANGAMKUU MKOANI MTWARA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli na viongozi waandamizi serikalini wakikata utepe kuzindua rasmi kivuko MV Mafanikio huko Msangamkuu mkoani Mtwara leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,mke wa Rais Mama Salma Kikwete pamoja na Waziri wa Ujenzi wakiwa katika kivuko cha MV Mafanikio muda mfupi baada ya Rais kukizindua rasmi leo. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment