Menu

Saturday, August 8, 2015

*WADAU DAR WACHANGISHA FEDHA ZA KAMPENI YA TEZI DUME

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akitangaza kiwango cha fedha kilichopatikana juzi usiku wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.
 Baadhi ya  wadau mbalimbali  wakurafahia wakati wa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam juzi Teddy Mapunda akichangia Sh. 500,000/=.
 Baadhi wa wadau waliokuwa wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.
 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe – Mugisha akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10,800,000/=ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu   kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini    Dares Salaam juzi usiku. 
 Mdau akichangia
 Meneja wa Utafiti kutoka Benki Kuu ya Tanzania Johnson          Nyella akiwakilisha mchango wa  Sh. milioni 10 ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu   kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini     Dares Salaam juzi usiku.
 Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Daudi Nassib  akiwakilisha mchango wa Sh. milioni tano ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu   kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaamjuzi usiku.
Picha ya pamoja baada ya hafla hiyo. Picha na Magreth Kinabo- MAELEZO

No comments:

Post a Comment