Daktari Mwandamizi Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Mary Kitambi akitoa mada jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. 
Mtaalamu wa Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Vida Mmbaga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa wanahabari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani ) jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John.
Mmoja wa waandishi wa habari David John swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.Picha zote na Anitha Jonas -MAELEZO-Dar es salaam


No comments:
Post a Comment