Menu

Wednesday, August 5, 2015

*WLAC WAENDESHA MAFUNZO KUHUSU TARATIBU ZA UCHANGUZI NA HAKI ZA MWANAMKE KATIKA UCHAGUZI

Mwanasheria kutoka kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na watoto Bi, Faudhia Yassin, akiwakaribisha wadau,na kujitabulisha katika  mjadala juu kufahamu taratibu mbalimbali za uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba 25.
 Bi, Hawa Moshi akifafanua  jambo wakati wa mafunzo maalumu ya wajibu wa wadau mbalimbali katika kutetea na kulinda haki na Utu wa  Mwanawake katika mchakato wa uchaguzi na kufahamu taratibu mbalimbali za uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi. Mafunzo hayo yalifanyika leo mchana katika Hoteli ya Wanyama iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wadau wakifuatilia mjadala uliokuwa ukijadili juu kufahamu taratibu mbalimbali za uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi 
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika mjadala juu ya kufahamu taratibu mbalimbali za uchaguzi na haki za mwanamke katika uchaguzi  yaliyofanyika katika hotel ya Wanyama Sinza jijin Dar esSalaam leo. Picha na Miraji Msala

No comments:

Post a Comment