Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia moja ya jiwe lenye Madini huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
wa Kampuni ya Aifola Investiment Co. Ltd, Zubery Mabie, kuhusu upatikanaji wa
madini na utengenezaji wa Unga wa 'Lime Powder', wakati Makamu alipokuwa
akitembelea Mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji wa
Ziwa Tanganyika, lililofanyika leo Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini
Kigoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata
maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Samaki wa Mapambo, Nunu Mrisho,
kuhusu upatikanaji wa Samaki hao na soko lake , wakati Makamu alipokuwa
akitembelea Mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji wa
Ziwa Tanganyika, lililofanyika leo Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini
Kigoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika,
lililofanyika leo Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma.
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
alipokuwa akihutubia kwenye ufunguzi wa Kongamano hilo.
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
alipokuwa akihutubia kwenye ufunguzi wa Kongamano hilo.
Mwakilishi
wa Umoja wa wafanyabishara wa Burundi, akizungumza.
Waziri wa Nchi- Uwekezaji na Uwezeshaji, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais Dkt. Bilal ili kufungua Kongamano hilo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Balozi waliohudhuria Kongamano hilo
baada ya ufunguzi, uliofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Makatibu Wakuu waliohudhuria Kongamano hilo baada ya ufunguzi, uliofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Viongozi wa Halmashauri wa Wilaya za Mkoa wa Kigoma waliohudhuria Kongamano hilo baada ya ufunguzi, uliofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Kigoma waliohudhuria Kongamano hilo baada ya ufunguzi, uliofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo waliohudhuria Kongamano hilo baada ya ufunguzi, uliofanyika leo.












No comments:
Post a Comment