Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, DKT. Wilbroad Slaa, amemaliza kuzungumza na waandishi wa habari Kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, akiweka wazi kile kilicho mfanya kujiweka pembeni na masuala ya Siasa.
Kaa nasi hapo baadaye kwa taarifa Kamili.
No comments:
Post a Comment