Menu

Thursday, September 3, 2015

*LOWASSA, ALIPOTUA SUMBAWAGA MKOANI RUKWA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI JANA

Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili Uwanjani hapo, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Ikuo Malila, baada ya kuwasilini kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, leo Sepremba 2, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mkewe, Mama Regina Lowassa, baada ya kuwasilini kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mjini, Mkoani Rukwa, leo Sepremba 2, 2015.
Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukitoka Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga na kuelekea kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kizwitwe, Sumbawanja Mjini, leo Sepremba 2, 2015.

No comments:

Post a Comment