Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikagua moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika
katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua
mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho
umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa
maji kwa miaka mingi. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Makame
Madina.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka
kukagua moja kati ya Visima vinne vya
Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya
Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015.
Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais
kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka
kukagua moja kati ya Visima vinne vya
Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya
Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015.
Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais
kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Bwereu, Juma Nyange
Omari, wakati alipofika kukagua moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na
salama wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi huo katika Vijiji vya Kigunda
na Bwereu Wilaya ya Kaskazini A Unguja, leo Sept 10, 2015. Mradi huo
unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na
maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wakazi wa Kijiji
cha Kigunda, baada ya kukagua mradi wa Maji safi na salama katika Kijiji cha
Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa, leo Sept 10, 2015. Mradi huo
unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na
maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia moja ya Kompyuta za kufundishia wanafunzi wa Shule ya Msingi
Kigunda, wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A
Unguja kwa ajili ya kukagua mradi wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo
unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na
maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kushoto ni Katibu wa
Kamati ya Maendeleo wa Kijiji hicho, Makame Vuai.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia Msingi wa Msikiti wa Shule ya Msingi Kigunda, baada ya kukagua mradi
wa Maji safi na salama unaosimamiwa na
Kijiji hicho ambao umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya
wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa
Kijiji hicho, Makame Madina.

No comments:
Post a Comment