Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa Mahakama ya aFrika ya Haki za binadamu mjini Arusha wakati Rais alipotoa hotuba ya kuwaaga.
Rais wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu Jaji Agustino Ramadhani akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa Arusha ambapo alikutana na na kuagana na majaji na watumishi wa Mahakama ya Afrika mjini Arusha.Picha na Fredy Maro
No comments:
Post a Comment