Menu

Friday, September 4, 2015

*RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA AFRIKA OPEN DATA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi kwenye Mkutano wa Africa Open Data Conference iliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Wapili kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu  kulia ni Mwakiklishi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania Bi.Bella Bird.

 Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Africa open Data Conference wakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete. Picha na freddy Maro

No comments:

Post a Comment