Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiwasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jjana kwa ajili ya kufungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.