Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu (kushoto) akiwachachafya mabeki wa Nigeria, Kenneth Omeruo (kulia) na Mosses Ssimon, wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwakani, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka suluhu ya 0-0.
Mchezaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa (kulia) akimiliki mpira mbele ya beki wa Nigeria wakati wamchezo wa kufuzu kucheza Fainali za kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka suluhu 0-0.
Sehemu ya mashabiki waliohudhuria mchezo huo.
Shabiki akifanya yake.....KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE.





No comments:
Post a Comment