Menu

Friday, September 11, 2015

*TUZO YA UTAWALA BORA KWA MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE

 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)akikabidhiwa Tuzo yake ya “Africa Achiever’s Award”  katika kigezo cha Utawala Bora tarehe 10/09/2015,Ikulu jijini Dar es Salaam kutoka kwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha-Rose Migiro aliyepokea tuzo hiyo kwa niaba yake huko Afrika ya Kusini.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia)akimpongeza Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete (kulia) kwa kupewa Tuzo ya Utawala Bora tarehe 10/09/2015,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa Serikali waliohudhuria sherehe ya kumkabidhi Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete tuzo ya Utawala Bora iliyofanyika tarehe 10/09/2015,Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment