PRESS RELEASE
AWARD WINNING INTERNATIONAL TANZANIAN FILM, GOING BONGO IN DAR ES SALAAM THEATERS FROM DECEMBER 11TH, 2015
On the December 11th, the
much anticipated award winning Tanzanian film,“Going
Bongo” will begin showing atCentury Cinemax TheaterinMlimani
City in Dar-es-salaam.
Going Bongo, made largely in Tanzania with parts in
Los Angeles, California is about a sheltered American doctor who mistakenly
volunteers to work in Tanzania for one month.
The film has already won multiple
awards including,Best East African Film at Zanzibar International Film Festival
(ZIFF) and Best International Film at Black Entertainment Fashion, Film and
Television Awards (BEFFTA). The film will start showing at Century Cinemax
Theater at Milimani City from December 11th, 2015.
The film’s writer/producer/actor Ernest
Rwandalla (Ernest Napoleon) said that the tickets are now on sale for 6pm, 8pm
and 10pm screeningsfor the Friday December 11th. Going Bongo hopes
to be the first Tanzania film to break barriers of a successful theatrical run
for Tanzanian films.
The
press is all
welcome.
For
more enquiries please
contact:
Mr. Ernest-TEL +46704070827(Whats app)
Da June-TEL 0756735461
GASTON TEL 0715241177
*****
FILAMU YA KITANZANIA ILIYOSHINDA TUZO BORA ZA KIMATAIFA KUANZA KUONYESHWA MLIMANI CITY IJUMAA DESEMBA 11, 2015
Tarehe 11 Desemba, 2015,
filamuiliyokuwaikisubiriwakwahamukubwa, “Going
Bongo” itaanzakuonyeshwakatikajumba la sinema la
Cinemax Century lililopoMlimani City katikajiji la Dar-es-sallam.
Filamuhiyoambayoimetengenezwa
Tanzania and katikajiji la Los Angeles kuleMarekaniinamhusudaktariwakimarekanianayekujakimakosakufanyakazi
Tanzania kwamudawamwezimmoja.
Filamuhiiimekwishajishindiatuzombalimbalizakimataifaikiwemo,filamu
bora yaAfrikaMashariki (ZIFF) nafilamu bora yakimataifa (BEFFTA).
Mwandishi/Mtayarishaji/Muigizajiwafilamuhiyo
Ernest Rwandalla (Ernest Napoleon) amesemakuwatiketizamaonyeshoyasaa 12 jioni,
saa 2 nasaa 4 usikuzaIjumaatarehe 11Desemba, zimeshaanzakuuzwa paleMlimani
City. Going Bongoni filamu inayotararijiwa kufanya vizuri katika
majumba ya sinema ambayo yamekuwa yakionyesha zaidi filamu za nje.
For
more enquiries please
contact:
Mr. Ernest-TEL +46704070827(Whats app)
Da June-TEL 0756735461
GASTON TEL 0715241177


No comments:
Post a Comment