Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto)akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Bi. Yasemin
ERALP , alipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo mchana. Waziri Nape alimsihi Balozi huyo kuwekeza katika Nyanja
mbalimbali za Filamu, Michezo na kubadilishana ujuzi katika sekta ya Habari n akumwahidi ushirikiano ulio
bora kati ya nchi hizo mbili
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiagana na Balozi wa Uturuki nchini Bi. Yasemin
ERALP, baada ya maongezi yao yaliyofanyika Ofisini kwake jijini Dar essalaam, leo. Waziri Nape ali msihi Balozi huyo kuwekeza katika Nyanja
mbalimbali za Filamu, Michezo na kubadilishana ujuzi katika sekta ya Habari na kumwahidi ushirikiano ulio
bora kati ya nchi hizo mbili.


No comments:
Post a Comment