Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment