Habari za Punde

*CHEKI VIDEO YA AJALI YA MABASI LA MWENDO KASI, AJALI MBAYA YATOKEA ABIRIA WAPITA MADIRISHANI

 Gari ndogo lenye namba za usajili T967 CYX likiwa limegongana na basi la mwendo kasi katika barabara ya Morogoro leo mchana. Haikuweza kufahamika chanzocha ajali hiyo.
Eneo la ajali
 Ajali hiyo
 Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.
 Kutokana na ajali hiyo, mabasi hayo ilibidi yaanze kupita katika barabara ya kawaida yakijichanganya na magari mengine baada ya Gari ndogo kulibamiza basi la mwendokasi eneo la Magomeni, Hivyo ili kuendelea na safari zake mwendokasi walilazimika kupita barabara za kawaida wafikapo eneo la ajali.
 Mabasi ya mwendo kasi yakipita barabara ya kawaida eneo la Magomeni.
 Eneo la ajali hiyo.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.