Msaidizi Maalum wa
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Bw. Gallus Abedi akionyesha moja ya
kitabu ambacho kiliandikikwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wakati wa sherehe
za uzinduzi wa klabu ya Mwalimu Nyerere chini ya Taasisi ya Ariseamka Afrika
itakayokuwa ikiwafundisha wanafunzi historia ya viongozi mbalimbali wa
Afrika,lugha,uongozi na sanaa,kulia ni Afisa Elimu Vifaa naTakwimu Manispaa ya
Kinondoni Bi. Sion Nnko na kushoto ni Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezi
Bi Liliani Beleko
Mwanzilishi wa
Taasisi ya Ariseamka Afrika Bi.Kulthum Maabad akionyesha kipeperushi chenye
taarifa za wapigania uhuru wa Afrika katika
sherehe za uzinduzi wa klabu ya
Mwalimu Nyerere chini ya Taasisi ya Ariseamka Afrika itakayokuwa ikiwafundisha
wanafunzi historia ya viongozi mbalimbali wa Afrika,lugha,uongozi na sanaa
katika kilele cha kuazimisha wiki ya ukombozi wa Afrika leo jijini Dar es Salaam,kushoto kwake ni Mwalimu Mkuu wa Shule
ya Msingi ya Mwalimu Nyerere Magomeni Bw.Odas Bambaza.
Afisa Elimu, Vifaa na
Takwimu Manispaa ya Kinondoni Bi. Sion Nnko akiongea na wanafunzi wa shule ya
Msingi Mwalimu Nyerere ya magomeni (hawapokatikapicha) wakati wa sherehe za
uzinduzi wa klabu ya Mwalimu Nyerere chini ya Taasisi ya Ariseamka Afrika
itakayokuwa ikiwafundisha wanafunzi historia ya viongozi mbalimbali wa
Afrika,lugha,uongozi na sanaa ,katika kilele cha kuazimisha wiki ya ukombozi wa
Afrika leo jijini Dar es Salaam ,wa
kwanza kushoto ni Msaidizi Maalum wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
Bw. Gallus Abedi na Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezi
Bi Liliani Beleko.
Msaidizi Maalum wa
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Bw. Gallus Abedi (kushoto) akikabidhi
vitabu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Mwalimu Nyerere Magomeni Bw.Odas
Bambaza,kwa ajili ya wanafunzi kujisomea na kuijua kiundani historia ya nchi
katika sherehe za uzinduzi wa ya klabu Mwalimu
Nyerere chini ya Taasisi ya Ariseamka Afrika itakayokuwa ikiwafundisha
wanafunzi historia ya viongozi mbalimbali wa Afrika,lugha,uongozi na sanaa ,katika
kilele cha kuazimisha wiki ya ukombozi wa Afrika leo jijini Dar es Salaam,katika ni Afisa Elimu, Vifaa na
Takwimu Manispaa ya Kinondoni Bi. Sion Nnko
Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezi Bi Liliani Beleko(wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa wakati wa sherehe za uzinduzi wa klabu ya Mwalimu Nyerere chini ya Taasisi ya Ariseamka Afrika itakayokuwa ikiwafundisha wanafunzi historia ya viongozi mbalimbali wa Afrika,lugha,uongozi na sanaa ,katika kilele cha kuazimisha wiki ya ukombozi wa Afrika leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment