Habari za Punde

*ZIARA YA RAIS DKT SHEIN MICHEWENI PEMBA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa katika mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza Viongozi wa CCm wilaya ya wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya kiuyu Wilaya ya Michweani Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 Viongozi wa Mashina,Wenyeviti na Makatibu wa maskani wakiwa ni Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na viongozi hao leo wakati alipofika katika ukumbi wa  Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba  kuwapongeza na kuwashukuru kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa katika mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza Viongozi wa CCm wilaya ya wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya kiuyu Wilaya ya Michweani Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akiwasalimia Viongozi wa CCM wa Mashina,Matawi na Maskani wa Wilaya ya Wete walipohudhuria katika mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza Viongozi hao uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Skuli ya Kiislamu ya kiuyu Wilaya ya michweani Mkoa wa Kaskazini Pemba

 Baadhi ya WanaCCM wakiteremka katika magari walipofika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Wanachama wa CCM Wilaya hiyo leo kwa ajili ya kuwapongeza kutokana na ushindi katika uchaguzi wa marudio wa mwezi machi mwaka huu
 Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete Abrahmani Makame Shehe alipokuwa akisoma risala ya wilaya wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Wanachama wa CCM Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo kwa ajili ya kuwapongeza kutokana na ushindi katika uchaguzi wa marudio wa mwezi machi mwaka huu. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.