Inabidi wakati mwingine dada zetu mjiangalie na mavazi na maeneo mnayotakiwa kwenda. Mipasuo na Vishanga vya miguuni vya nini Bungeni? Mitego mitaani sasa hadi Bungeni!, hawa ni miongoni mwa wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa habari cha Tumaini waliofika kutembelea na kujionea shughuli za bunge mjini Dodoma
RONALDO AWEKA REKODI MPYA KOMBE LA DUNIA URENO YAICHAPA UZBEKISTAN 5-0
-
TIMU ya Ureno imeibuka na ushindi wa mabao 5–0 dhidi ya Uzbekistan katika
mchezo wa Kundi K Fainali za Kombe la Dunia usiku huu Uwanja wa NRG,
Houston, T...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment