Inabidi wakati mwingine dada zetu mjiangalie na mavazi na maeneo mnayotakiwa kwenda. Mipasuo na Vishanga vya miguuni vya nini Bungeni? Mitego mitaani sasa hadi Bungeni!, hawa ni miongoni mwa wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa habari cha Tumaini waliofika kutembelea na kujionea shughuli za bunge mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment