Mwendesha Guta akikokota guta lake likiwa limesheheni mzigo uliozidi uwezo wa Guta hilo kama alivyonaswa na kamera na Mafoto Blog katika makutano ya barabara na Kwawa na Nyerere jijini Dar es Salaam.
MAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA 46 WA CATA JIJINI ARUSHA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John
Ndejembi, amewasili mkoani Arusha leo, Jumatatu, Oktoba 5, 2026, kwa ajili
ya k...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment