Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akiwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro eneo la Jangwani akisubiri kuvuka barabara. Kijana huyo aliwashangaza wengi waliomuona wakiwa katika foleni ya magari eneo hilo kutokana na mavazi yake hasa suruali aliyoivalia na kufungia mkanda katika magoti.
Akikatiza mitaa ya Jangwani
Akikatiza mitaa ya Jangwani
No comments:
Post a Comment