Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Viajana wenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, Said Mussa, akichuanakuwania mpira na mchezaji wa JKU ya Zanzibar, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Karime Ilala Dar es Salaam, Leo Okt 11, 2017. Katika mchezo timu hizo zimetoka sare ya 0-0.
Mwitikio wa Wananchi Walazimisha Tume ya Amani Kuongezewa Muda wa Kazi
-
Mamlaka ya Uteuzi imeridhia maombi ya kuongezewa muda kwa Tume ya
Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya
Uchaguzi Mkuu w...
2 hours ago







No comments:
Post a Comment