Takataka zikiwa zimerundikana nje ya Soko la Kisutu Dar es Salaam, kutokana na wahusika kuchelewa kuziondoa kwa wakati na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa soko hilo.
VIJANA NA WAJIBU WA KULINDA AMANI KAMA MTAJI WA MAENDELEO YA TAIFA
-
Vijana wana jukumu kubwa la kulinda amani ya nchi, kwani wao ndio nguvu
kazi ya Taifa na viongozi wa kesho. Kwa wingi wao, ubunifu wao na ushawishi
wao ...
12 hours ago

No comments:
Post a Comment