Menu

Wednesday, January 17, 2018

NYUMBA YA KATIBU WA UVCCM IRINGA YATEKETEZWA KWA MOTO


Watu wasiojulikana wamechoma moto Nyumba ya Katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa na kutokomea, lakini wasamariawema waliowahi wameokoa jahazi kwa kufanikisha kuzima moto huo kabla ya kuenea katika nyumba nzima. Katika tukio hilo baadhi ya vitu vya thamani vimeteketea kwa moto huo.

No comments:

Post a Comment