Menu

Saturday, February 10, 2018

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

 Wananchi wakazi wa Sinza Mapambano, wakiangalia Bajaji iliyogongwana na Gari lenye namba za usajili T 999 BGS, leo asubuhi eneo la Mapambano jijini Dar es Salaam. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
Askari wa usalama barabarani akisimamia ajali hiyo

No comments:

Post a Comment