Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda.
Picha ya pamoja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kupiga picha ya pamoja na Mawaziri pande zote mbili za Kenya na Tanzania mara baada ya kikao chao Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir kabla ya mazungumzo yao jijini Kampala.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Kampala Uganda-PICHA NA IKULU










No comments:
Post a Comment