Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kupanda ndege kuelekea nchini Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kambala
******************************************
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI LEO JUMATANO YA FEBRUARI 21,2018 AMEONDOKA JIJINI DAR ES SALAAM KUELEKEA KAMPALA NCHINI UGANDA KUSHIRIKI MKUTANO WA SIKU MBILI WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIA YA AFRIKA YA MASHARIKI UNAOFANYIKA KAMPALA NCHINI UGANDA.

No comments:
Post a Comment