Menu

Friday, March 2, 2018

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Wafanyabiashara ndogondogo wakiwa wamepanga biashara zao katika uzio wa Ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, zilizopo Ilala pamoja na kwamba eneo hilo kuna kibao cha tangazo linalowazuia kufanya biashara,kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto B log.

No comments:

Post a Comment