Kutoka uwanja wa Taifa mchezo ni kipindi cha pili huku Al Masri wakiongoza mabao 2-1 ambapo simba ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kwa mkwaju wa penati, na dakika moja baada ya penati hiyo. KAA NASI KWA MATOKEO KAMILI YA MTANANGE HUU HAPO BAADAYE
PWANI YAWEKA MKAKATI KUACHA TABASAMU KWA WANANCHI NDANI YA SIKU 100 ZA RAIS
-
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Disemba 19, 2025
Mkoa wa Pwani umejipanga kuhakikisha wananchi wa mkoa huo wananufaika moja
kwa moja na utekelezaji wa ahadi za ...
12 minutes ago

No comments:
Post a Comment