Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja
na viongozi wengine kuashiria ufunguzi wa
kiwanda kikubwa cha Kusindika na kuzalisha mafuta ya Alizeti cha Mount
Meru Millers kilichopo mkoani Singida. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha
tani elfu tisini za mafuta ya alizeti kwa mwaka.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa kiwanda hicho kikubwa cha kusindika Alizeti cha Mount
meru millers kilichopo mkoani Singida. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa
Singida Dkt. Rehema Nchimbi, Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba,
mmiliki wa Kiwanda hicho Atul Mittal mwenye nguo nyeupe na Waziri wa Viwanda na Biashara Charles
Mwijage.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenda
kukagua shughuli mbalimbali za kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti
kilichopo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenda
kukagua shughuli mbalimbali za kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti
kilichopo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenda
kukagua shughuli mbalimbali za kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti
kilichopo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na viongozi
wa Kidini kutoka Singida mara baada ya kufungua kiwanda hicho cha usindikaji wa
Alizeti.
Mkuu wa mkoa wa
Singida Dkt. Rehema Nchimbi akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt.
Mwigulu Nchemba wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa
cha Usindikaji wa Alizeti mkoani Singida.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza mmiliki wa Kiwanda cha Mount Meru Millers Atul Mittal mara baada ya
kumaliza kutoa hotuba yake ya uzinduzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa
Alizeti mkoani Singida. PICHA NA IKULU








No comments:
Post a Comment