. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi jipya la Benki ya
CRDB lililopo Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali wa Chato waliohudhuria katika ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB lililopo Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mkuu
mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel mara baada ya kuwasili katika sherehe za
ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB lililopo Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei mara baada ya kuwasili katika sherehe za ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB lililopo Chato Mkoani Geita.
Wananchi mbalimbali
wa Chato wakifurahia katika ufunguzi huo Tawi la Benki ya CRDB lililopo Chato
Mkoani Geita.
Picha namba 10.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Ally Laay mara baada ya Benki hiyo kuchangia mfuko wa Elimu wa mkoa wa Geita kwa kutoa kiasi cha Shilingi milioni 50 kabla ya ufunguzi wa Tawi hilo la Benki.
Mcheza ngoma za asili
wa kikundi kutoka Chato akionesha umahiri wake wa kucheza ngoma katika sherehe
za ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB lililopo Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati
kikundi cha ngoma za asili kutoka Chato (hakionekani pichani) kilipokuwa
kikitumbuiza katika viwanja wa Tawi la Benki ya CRDB kabla ya ufunguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kupiga makofi pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Ally Laay pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Ashatu Kijaji wakati msanii wa kikundi cha ngoma za asili cha Chato alipokuwa akitoa burudani ya ngoma hiyo.
Mmoja wa wacheza
ngoma wa kikundi cha Ngoma za asili cha Chato akimwagiwa Rangi kabla ya kuonesha
umahiri wake wa kucheza ngoma hiyo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi
wa Denmark hapa nchini Einar Hebogard Jensen wakati akielekea kwenda kufungua
Tawi la Benki ya CRDB lililopo Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Ally Laay pamoja na Naibu Waziri wa Fedha
Dkt. Ashatu Kijaji wakati wakipiga picha ya pamoja.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma wakati
msanii wa Msechu Bendi Peter Msechu alipokuwa akiimba mara baada ya kufungua
tawi hilo la Benki.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma wakati
msanii wa Msechu Bendi Peter Msechu alipokuwa akiimba mara baada ya kufungua
tawi hilo la Benki.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo
pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Ally Laay, Naibu Waziri wa Fedha
Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles
Kimei kabla ya ufunguzi wa tawi hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Chato mara baada ya kutoka kwenye ufunguzi wa tawi hilo la benki ya CRDB lilopo Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU


















No comments:
Post a Comment