Mbunge wa Chalinze Ridhiwani KIKWETE, akisalimiana na Mhashamu Kadinali Pengo na Mhashamu Askofu Mkude baada ya Kuzungumza na Umma wa Watanzania wa Morogoro waliohudhuria Sherehe za Ufunguzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kigurunyembe , ikiwa ni Shukurani kwa Zawadi ya Picha kuonyesha Kushukuru kwa Mchango alioutoa Mzazi wake Mhe.. Jakaya Kikwete kwa Ujenzi wa Kanisa.
Akiwashukuru maaskofu baada ya kukabidhiwa Zawadi hiyo.


No comments:
Post a Comment